Vigezo Vitakiwavyo
Kiwango cha Kuomba
Kiwango unachoweza kukopa kinategemea na thamani ya dhamana yako. Bonyeza kitufe chini ili kuona kiwango chako.
Jinsi ya Kuomba
Utaratibu ni rahisi sana. Bonyeza kitufe cha 'Angalia Kiwango' kisha fuata maelekezo yake.
Pata mkopo kutegemeana na dhamana zifuatazo (iphone, laptop au gari):
Jaza fomu kujua kiwango chako cha kukopa.
EBS finance inapokea aina tofauti za kompyuta mpakato (laptop) ambazo zina vigezo maalumu, zilizo katika hali nzuri na za toleo la miaka ya karibuni. Tutaitathmini soko lake na kukupatia mkopo.
EBS Finance inapokea magari aina tofauti yaliyo katika hali nzuri yanayotumika binafsi, yenye namba za usajili kuanzia namba C. Gari litatathminiwa kwa bei ya soko lake na kutoa mkopo. Magari yanayopokelewa ni aina ya IST, BMW, Spacio, Crown, Rangerover, Hilux na mengine mengi ya Toyota na Yaliyotengenezwa UK.